Jeshi la polisi na B.A Law Enforcement

EJay

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
693
Reaction score
172
Wakuu,
katika mwaka huu 2013/14 wamewaacha wanafunzi wa sheria LLB na kuchukua tu wanafunzi waliomaliza BALE yaani usimamizi wa sheria na utekelezaji ambao wamespecialize kwenye upolisi.rai yangu kwa wanafunzi wa sheria lengo likiwa ni kufanya kazi ktk field za usimamizi wa sheria mkaliona hilo mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…