Jeshi la Polisi na wahusika wengine, tuepusheni na hii kadhia ya waendesha pikipiki wanafanya pikipiki zao kupiga kelele kama mabomu

Jeshi la Polisi na wahusika wengine, tuepusheni na hii kadhia ya waendesha pikipiki wanafanya pikipiki zao kupiga kelele kama mabomu

ambagae

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Posts
3,334
Reaction score
1,385
Hawa madereva wa pikipiki wanaofanya pikipiki zao kupika kelele ikiwemo milipuko kama mabomu wanasababisha kelele zisizo za lazima hivyo màmlaka zinazohusika zijitahidi kukomesha tabia hizi ambazo hazina tija.
 
Back
Top Bottom