A ambagae JF-Expert Member Joined Mar 2, 2009 Posts 3,334 Reaction score 1,385 Apr 3, 2023 #1 Hawa madereva wa pikipiki wanaofanya pikipiki zao kupika kelele ikiwemo milipuko kama mabomu wanasababisha kelele zisizo za lazima hivyo màmlaka zinazohusika zijitahidi kukomesha tabia hizi ambazo hazina tija.
Hawa madereva wa pikipiki wanaofanya pikipiki zao kupika kelele ikiwemo milipuko kama mabomu wanasababisha kelele zisizo za lazima hivyo màmlaka zinazohusika zijitahidi kukomesha tabia hizi ambazo hazina tija.
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,743 Reaction score 13,657 Apr 3, 2023 #2 Wapiga kura waache