Hiyo iko more traditional....! Wateja wa hizo sekta ni wengi...hasa jeshi la Polisi, hivyo chance ya kuwa na kiasi kikubwa cha rushwa ni kubwa pia kuzingatia mazingira ya utatuzi wa shida za wateja wao...! Lakini watafiti hao waje na estimates (in Tshs/TZS) za figures za hizo rushwa......usijekuta ni 0.5% ya EPA....! Wakati tunanyooshea vidole dagaa, tuthubutu kutaja na papa/nyangumi pia hasa katika taasisi za fedha, kandarasi nk