J johnson.linus Member Joined Feb 2, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Feb 25, 2012 #1 hi wananchi wenzangu mnaona kuna umuhimu wa jeshi la polisi kuendelea kuwepo nchini? kwa upande wangu sioni haja ya kuwepo kama badala ya kuwalinda wananchi ndo linaongoza kuuwa raia wasiokuwa na hatia yoyote!
hi wananchi wenzangu mnaona kuna umuhimu wa jeshi la polisi kuendelea kuwepo nchini? kwa upande wangu sioni haja ya kuwepo kama badala ya kuwalinda wananchi ndo linaongoza kuuwa raia wasiokuwa na hatia yoyote!
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,856 Feb 25, 2012 #2 Ulazima upo, but the whole thing is mismanaged
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,126 Feb 25, 2012 #3 security guard mbona zinatosha tu?
mgeni10 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 1,108 Reaction score 370 Feb 25, 2012 #4 Jeshi hili ni la muhimu kuwepo. Ila mapungu kwenye utendajio wake ndio yanatakiwa Yarekebishwe Ili Imani iendelee kewepo juu yake
Jeshi hili ni la muhimu kuwepo. Ila mapungu kwenye utendajio wake ndio yanatakiwa Yarekebishwe Ili Imani iendelee kewepo juu yake