Jeshi la Polisi.

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2009
Posts
3,400
Reaction score
320
wadau ni lini jeshi hili POLISI litarejeshwa kwa wananchi ambao ndiyo waajili wao kupitia idara ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao ili nalo lipate heshima?

Likaondokana na hii sura ya sasa ya kuwa Jeshi la kulinda viongozi wadhalimu na kupiga raia hovyo
 
Wananchi hawajawahi kuajiri polisi, labda sungusungu
 

jibu kwenye katiba mpya .toa maoni polisi lisiwe jeshi .liwe Tanzania police service badala ya sasa Tanzania police force .katiba ya ghana iko hivyo na sasa kenya pia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…