Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Mimi nimeulizia tu ubabe ambao Rwanda inataka kuonyesha sijazungumzia swala la Tanzania kuweza a kushindwa, Si kweli kwamba Rwanda haikuwa DRC wale waasi wa congo bado wapo, Rwanda ilikuwa na majesh yake Congo toka enzi za Kabila, Rwanda haiwez peleka Majesho Burundi kwa sababu hawaelewani na sio marafiki kivile. kwa hiyo nilitaka kusema Rwanda inaonyesha misuli yake pia huko msumbijiMkuu sio kila mzozo ni lazima Tanzania iingilie. Nchi yetu imeshasaidia nchi mbali mbali kijeshi na kufanikiwa kuzikomboa nchi hizo kutoka mikononi mwa maadui zao...
Inaonyesha misuli? Kwani wanashindania Nini?Rwanda Wana jeshi lao pia huko Central African Republic CAR wamepigana na waasi na kukomboa maeneo mengi ya nchi hio na wanamlinda rais wa nchi hio pia Sasa na huko CAR Wanamtunishia misuli Nani?Mimi nimeulizia tu ubabe ambao Rwanda inataka kuonyesha sijazungumzia swala la Tanzania kuweza a kushindwa, Si kweli kwamba Rwanda haikuwa DRC wale waasi wa congo bado wapo...
Kwahiyo jw wangeenda msumbiji wakimbizi wangekuja Tz ila rwanda wakienda msumbiji wakimbizi hawata kuja Tanzania? Aisee acha porojo mjomba!Mkuu sio kila mzozo ni lazima Tanzania iingilie. Nchi yetu imeshasaidia nchi mbali mbali kijeshi na kufanikiwa kuzikomboa nchi hizo kutoka mikononi mwa maadui zao...
Hizi ndio akili za watz!!! Pole gaid wenzio wamepukutishwaRwanda ni kibaraka. Kagame anajaribu kujipendekeza kwa Ufaransa ili wasahau kesi waliyomfungulia kwa kupeleka wanajeshi wake kupambana na raia walioamua kushika silaha kulinda gesi na madini yao dhidi ya wawekezaji wa Ufaransa
Achana na mziki wa kagame !!! Yule ni jasusi by proffestionalNimesikia Jeshi la Rwanda limeenda Msumbiji na limefanikiwa kurejesha miji iliyokuwa imemilikiwa na waasi huko msumbiji ila katika historia kuna ukweli....
πππ eti wamfutie kesi? Sio Rais wa France majuzi aliyeenda Kigali kuomba 'msamaha' kwa nchi yake kushiriki kwny genocide 1994? Kagame huyu huyu aliyemfukuza balozi wa Ufaransa Kigali Kama Mbwa leo ajipendekeze kwao?πππ.Rwanda ni kibaraka. Kagame anajaribu kujipendekeza kwa Ufaransa ili wasahau kesi waliyomfungulia kwa kupeleka wanajeshi wake kupambana na raia walioamua kushika silaha kulinda gesi na madini yao dhidi ya wawekezaji wa Ufaransa
Huyo hajui kitu ndio watz walivyo[emoji1][emoji1][emoji1] eti wamfutie kesi? Sio Rais wa France majuzi aliyeenda Kigali kuomba 'msamaha' kwa nchi yake kushiriki kwny genocide 1994? Kagame huyu huyu aliyemfukuza balozi wa Ufaransa Kigali Kama Mbwa leo ajipendekeze kwao....
Akili za vijiweni na kwenye vibanda umizaHiyo ni hisia yako mkuu, ila haina ukweli maana kwa msuli wa kijeshi Rwanda hawezi kuishinda Tanzania.
ππππ Ila wewe Ufaransa wakakwambia.France wanailipa Rwanda kwa kupeleka majeshi msumbiji kulinda kiwanda Chao cha gesi ...
Hizo vitu huwez ambiwa
Yaan ufaransa imuogope Rwanda emu toa ngada zako jamaaπππ eti wamfutie kesi? Sio Rais wa France majuzi aliyeenda Kigali kuomba 'msamaha' kwa nchi yake kushiriki kwny genocide 1994? Kagame huyu huyu aliyemfukuza balozi wa Ufaransa Kigali Kama Mbwa leo ajipendekeze kwao?πππ.
Aliwaambia Ufaransa Kama mnasema mnaweza kukamata raia wa Rwanda kwa kigezo kua Ni universal jurisdiction then Nami nitakamata raia wenu kwa makosa ya genocide waliyoyafanya hapa 1994 sababu mmesema hio Ni universal na sio 1 way.Mpk leo Ufaransa haijawahi kukamata hata kuku mmoja kutoka Rwanda achilia mbali kukamata raia wao.
Yaani ktk watu hawamtishagi Kagame basi Ni France na Belgium.
Jeshi letu makomando wao wanateswa na polisisiemu lipo kimya[emoji16][emoji16]Kwahiyo jw wangeenda msumbiji wakimbizi wangekuja Tz ila rwanda wakienda msumbiji wakimbizi hawata kuja Tz!?? Aisee acha porojo mjomba!!! Achana na mziki wa kagame !!! Jamaaa wanajuacsana guerrila war!!! Ule mziki wa mozambik unataka watu wanaojua vita za msituni!!!
Tatizo la watz hudhan jeshi lao ni kila kitu kumbe no!!!
Halafu vita ya comoro ilikua ni mchezo wa kitoto hakuna vita pale !!!!
Sasa rwanda imeonesha ubabe gani au ulitaka ishindwe kuwaondoa hao waasi huko msumbiji? SijakuelewaMimi nimeulizia tu ubabe ambao Rwanda inataka kuonyesha sijazungumzia swala la Tanzania kuweza a kushindwa, Si kweli kwamba Rwanda haikuwa DRC wale waasi wa congo bado wapo, Rwanda ilikuwa na majesh yake Congo toka enzi za Kabila, Rwanda haiwez peleka Majesho Burundi kwa sababu hawaelewani na sio marafiki kivile. kwa hiyo nilitaka kusema Rwanda inaonyesha misuli yake pia huko msumbiji
Sawa mke wangu natoa ngada zangu Ila nakupakia vumbi la mkongo,pengine hujui hata 1994 RPA waliwateka wanajeshi wa Ufaransa waliokua wanawasaidia interahamwe.Yaan ufaransa imuogope Rwanda emu toa ngada zako jamaa