ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Uhamiaji kwanini mlisitisha operation za wahamiaji haramu muda mrefu hivi Kwa mkoa wa Kagera na Kigoma
Zamani sisi watu wa Kagera na Kigoma tulizoea ikifika mwezi march ni msako nyumba Kwa nyumba kuwasaka wahamiaji haramu ila Kwa Sasa kipo kimya miaka zaidi ya 10
Uhamiaji ni jeshi mpo tu airport kukagua passport na maofsini kuja mtaani hamwonekani, mnaota vitambi tu
Uhamiaji haramu ni uharifu endelevu
Watu wasio raia wanaotishia amani sisi raia wa mpakani
Kikwete alifanya vyema, alisaidia sana kuwafukuza na hakika hawakuingia nchini kwetu ovyo kama Sasa
Jeshi la Uhamiaji mpo airport na mipakani kukagua passport tu
Wahamiaji haramu hawapiti hizo njia.
Wahamiaji haramu wanaoingia mpakani, wanahonga na kupata kadi ya mpiga kura au ya Chama, au kuoa Mtanzania akifanya hivo ashakuwa raia
Wahamiaji haramu Sasa wanapata haki zote za raia kikatiba ikiwemo kumiliki ardhi, kupiga kura, kugombea n.k
Kwa Sasa mnaona ya kawaida ila naona shida miaka mingine ijayo Kwa Uhamiaji haramu unaoendelea sasa
Mkoa wa Kagera na Kigoma ipo siku itakuwa ardhi ya nchi zingine Kwa ukimya huu wa jeshi la Uhamiaji