Jeshi la Uhamiaji wamenirudisha Nyumbani wakidai sipo Fiti. Nimepoteza dira ya maisha

Sasa uliachaje biashara na kukimbiliya ajira? Ina maana hukuwa na mood na iyo biashara. Sasa umepoteza vyote. Karibu kuongea na ndugu wakuchangie mtaji hata laki tano tu uanze upyaaa
Biashara zinachangamoto nyingi hasa hizi baishara zenye mtaji mdogo unaridhisha watu na kulipa Kodi TRA na pango unabakiwa na hela ya kula tu kiongozi,mtu ukiaajiriwa unakuwaga na uhakika wa mwisho wa mwezi mshahara, pamoja na mkopo ambao unaweza fanya ishu za maana
 
Soma uelewe mkuu, mtu yuko serious, unakomenti ujinga.Vaa viatu vyake uone uchungu alionao. Tafadhari usije ukaniuliza SERIOUS ni wapi.
Amekosea nini kumshauri awe karibu zaidi na Mungu? Au wewe ni wale wafuasi wa shetani? Shindwa pepo!!
 
Pole sana, majeshi nadhani hayataki watu waliojifungua, halafu omba ajira serikalini nadhani utapata.
 
Tatizo lilianzia kwa nini ukubali kua singo mama?
 
Ni Uzi wa mwaka jana huu,nahisi aliondolewa Mafunzoni kwa sababu ya Mshono pengine alijifungua kwa operation,hivyo wakati wa checkup Mshono ukaonekana. Naimani yupo sehemu nzuri kwa sasa
 
Pole sana mkuu saili za majeshi huwa Zina figisu sana. Vijana huwa wana data
 

Dah pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…