Jeshi la Uhamiaji wamenirudisha Nyumbani wakidai sipo Fiti. Nimepoteza dira ya maisha

Kabla ya kuanza kozi na muda wowote katikati ya kozi huwa hakuna ratiba maalum ya upimaji.
Washangundua hizi hospitali za serikali wanahngeka HIVYO ukipima Haina shida ,nawao wanawataalamu wao wanakuja kujiridhisha ,muda mwingine wanaweza hata kukuinamisha wakiona mlango umetanuka kidogo basi hufai kua pale hata Hawa mabint waachane Sana kuwaruhusu wapenzi zao kutesti testi kugusa gusa jambio
 
Kwa kweli kipo cha kujifunza hapa, Nashukuru sana mkuu
 
Sidhani kama dada yetu Huyu alishawahi kuruhusu jambo kama Hilo la kuguswa Maungo ya Nyuma........Japo kila binadamu kwenye Jambo Ovu huwa Msiri sana.
Aidama
 
Kama wenzako bado hawajafika mbali snaa kwenye mafunzo unaweza kuandika barua kwenda makao makuu ya uhamiaji kutaka kujua tatizo ni nini ili uweze kujitibia na hiyo ni haki yako. Wakishakupa unaweza kwenda hospital nyingine ya serikali kupima upya kujithibitishia. Ukiwa upo sawa kata rufaa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani. Kama uhamiaji wasipojibu barua ya kuomba majibu andika kwenda kwa Waziri na kumpa nakala Kamishina Jenerali wa Uhamiaji. Nakutakia kila la kheri
 
Kama utakuwa na tatizo ilo kweli usi force kurudi kwenye mafunzo inaweza ikawa tiketi yako ya kwenda kaburuni.
 
Kwa kweli kipo cha kujifunza hapa, Nashukuru sana mkuu
Hili jeshi la Uhamiaji+PCCB ni muendelezo ule ule wa kulalamikiwa.


so sad kumbe tulikua wote venue pale -UDOM tukipiga pepa ya uhamiaji. ifeel ure pain champ

•jeshi linakataza walio wahi kuzaa hii ndio yawezekana imekutoa.
ila degree yako ni potential sana wamekukosea kukuondoa .
 
ushauri mzuri
 
ila kuna sehemu kaandika alimpa shukrani aliye fanikisha kupata kazi huoni hata huko kwenye vyombo vya dola ikiwemo mahakama+takukuru watambana kuwa kashiriki kutoa rushwa?
 
Siku zote ukisikiliza upande mmoja unaweza hitimisha ila ukisikiliza upande lalamikiwa ndo ukweli utajulikana
Ningekuwa napendekza watanzania wa kupewa medani ningependaza upewe. Ogopa kusikiliza upande mmoja wa malalamiko! Nasema tena, ogopa! Ila sina maana kuwa mwanzisha thread anadanganya au ana hila yoyote! Aliyoandika yanaweza kutokea kabisa ila nimekazia tu hili la kusikiliza pande zote. BTW kwa nini vipimo isiwe sehemu ya interview, ili mtu akichaguliwa anajua kuwa kuna uhakika?
 
fani yako inaweza kufanya kamaa mtu anaepima magonjwa hispitalini kama ndio changamkia fursa za tamisemi
 
Nashukuru sana mkuu kwa ushauri, japo kwa sasa natamani kupata kazi itayonisaidia kupata mtaji uliotengemaa wa kuweza kufufua biashara zangu, Passion yangu kubwa ipo kwenye kujiajiri... Nimefungua moyo na kukubali kuwa huenda haukuwa mpango wa Mungu mimi kuwa huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…