Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Jeshi la Uingereza limetangaza juzi August,17, kwamba linataka kuwaandikisha katika jeshi vijana Waafrika ,vijana kutoka nchi za Afrika zilizopo katika Jumuia ya Madola; nchi kama Kenya, Tanzania,Msumbiji, South Africa.
So far,wametaja kuwaajiri wahandisi na wasanii,no mention of fighters yet .
Watu wengine wanasema labda ni matayarisho ya WW3.
So far,wametaja kuwaajiri wahandisi na wasanii,no mention of fighters yet .
Watu wengine wanasema labda ni matayarisho ya WW3.