Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Msemaji wa Jeshi la Yemeni maarufu kama Houthis brigadier Jenerali Yahaya Saree, amesema kuwa Wanazo taarifa za kiintelijensia kuwa Serikali ya kigaidi ya Israel imeanza kufanya ujanja wa kuuza meli zake na asstes zake mbalimbali za baharini kwa watu wengine ili kukwepa vikwazo vya baharini walivyowekewa na Jeshi la Yemeni. Hata hivyo Jenerali huyo wa Jeshi la Yemeni amesema kuwa, hata kama Israel itaendelea na mpango huo, basi vichapo kwa meli hizo viko palepale.
Jeshi la Yemeni limeiwekea vikwazo biashara zote za baharini zenye mahusiano na Israel zisipite katika bahari ya mwambao wa Yemeni ili kuiwekea presha Israel iache kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza (Genocide). Mpaka sasa bandari ya Haifa huko Israel imepata pigo kubwa sana maana kiwango cha mzigo kinachofika huko ni kidogo mno kulinganisha na kipindi vita ilipokuwa hakuna.
Taarifa zinasema kuwa Marekani imekuwa ikijaribu kuiomba Irani itumie ushawishi wake kwa Wahouthi ili waache operesheni yao ya kuzuia meli zenye mahusiano ya kibiashara na Israel zipite, hata hivy Wahouthi wameendeleza msimamo wao bila kuyumba.
Marekani, Uingereza na Israel yenyewe zimeshajaribu kuwapiga wahouthi kijeshi lakini hilo pia halijazuia wahouthi kuendeleza operesheni zao dhidi ya Israel ikiwemo kupiga Israel moja kwa moja kwa makombora ya ballistic na drones.
Ikumbukwe nchi ya kwanza kuitwanga Israel kwa drone ni Yemeni miezi michache iliyopita walipoitwanga Tel Aviv kabla ya Israel kuchanganyikiwa na kwenda kulipua assets za kiraia za bandari na matanki ya mafuta.
=============
The spokesperson for the Yemeni Armed Forces, Brigadier General Yahya Saree, issued a stern warning to Israeli shipping companies against attempting to sell or transfer their assets to evade the Yemeni Armed Forces's operations.
He emphasized that intelligence reports have confirmed the involvement of several shipping companies linked to the Israeli occupation in a concerted effort to offload their assets, which includes transferring ownership of cargo ships to other entities or registering them under different names as a means to circumvent the punitive measures imposed by Sanaa.
Saree asserted that the Yemeni Armed Forces will not acknowledge any changes in ownership or flags of Israeli vessels. He cautioned all relevant parties against engaging with these companies or ships, as they remain subject to punitive measures and are barred from entering the operational areas specified in previous statements.
english.almayadeen.net

Saree warns against Israeli asset transfers to evade YAF operations
The spokesperson for the Yemeni Armed Forces warns "Israel" against selling or transferring its assets to evade the Yemeni Armed Forces' operations, stressing that all Israeli-affiliated ships will be targeted.