Jeshi la USA na bomu la usenge

Status
Not open for further replies.
 

MBONA UMECHANGANYIKIWA HUANDIKI HOJA MOJA UKAFAHAMIKA UNAANDIKA KAMA VILE UKO NA PASTOR KWENYE MADHABAHU YA SIRI ???

YOTE ULIYOANDIKA UNAJIDHIHIRISHA NAMNA ULIVYOLELEWA NA KANISA KATIKA UONGO NA SHIRKI NA HAYO NI MATUNDA YA KANISA ALIYOYASEMA YESU

UMETHIBITISHA KUWA NYINYI KWA NYINYI MNAPENDANA KUMBE BOMU LIMELIPULIWA KANISANI ??

hivi ndivyo mungu wako alivyofanywa ??? Ecce homo - Wikipedia, the free encyclopedia
 

Kijana mbona unaandika kama umetawazia majani ya kuwasha!
Teh teh teh teh!, Si tunaongelea ULIBERALI UNAVYO ATHIRI MAKANISA YA WANA KONDOO! we unatuletea habari ya ohhh quraan imeliwa na mbuzi!

Teh teh teh teh teh, Sasa mbuzi na uliberali wapi na wapi! Au nyie mna wananihiii mpaka hao mbuzi!
Teh teh teh teh! Halafu nikwambie kitu! Hata mbuzi uliberali hawafanyiani! Ajabu haya makanisa!! Killa leo john kamtafuna peter! Sasa hapa ni kutafuta solutions sio kuleta habari ya mbuzi kamla bata!
Kwi kwi kwi kwi!

Mwisho tutaskia papa katangaza kuwa wanakondoo wote wanaotaka kusamehewa lazima wachungaji wao wawatafune japo mara moja! Sasa sijui wewe 2013 utafanyaje! Kwa usalama wako we bora usilimu tu! Huu ukafiri unaweza kukusababishia ukachanwa majora!
Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
:thinking:am appreciate, the fact that, you've been very controversial and very influential too, .:ranger:
let me me tell you something.., stop being a magistrate!! God is One
mathayo 7:1-28 Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na Mungu,2. kwa maana jinsi mnavyowahukumu wengine, ndivyo nanyi mtakavyohukumiwa; na kipimo kilekile mnachotumia kwa wengine ndicho Mungu atakachotumia kwenu.
3 Kwa nini wakiona kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako?4 Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, `Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako`, wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? 5 Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyoko jichoni mwako na hapo ndipo utaona waziwazi kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichoko jichoni mwa ndugu yako.....27.Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, umati wa watu ukashangazwa na mafundisho yake.28 Hakuwa kama walimu wao wa Sheria, bali alifundisha kwa mamlaka.

mwisho wa kunukuu.

je mungu haoni hao ma-gay na lesbians wanavyokula maisha.?kwanini asishushe radi peke yake, wewe huu nani unataka kumsaidia mungu, je wewe uu mkamilifu kuliko hao gays na lesbians kama ndio uwe wa kwanza kumpiga mawe. najua wewew si mkamilifu, unawezaje kuona dhambi kwa wengine wakatizako hauoni.[TABLE="width: 90%"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
kila nikiuliza maswali mnaishia kuumwagia tindikali uzi wangu. ni kweli napata shida kujua nianzewapi. nakupa wewew haki chagua swali la kujibu kati ya hayo ama jibu hili;
je kwanini imani yenu inasema hamfuati ila aliyerogwa, je unadhani hii ndiyo sababu

kama ndiyo hata wewe pia umerogwa???
ukiumwagia tindikali na huu nitajua kweli umerogwa. ha ha ha ha ha
 
 
kila nikihoji mnamwaga tindikali kwenye uzi wangu,
wewe kwakuwa unahoja nzito, nakupa swali hili ili msiigizane majibu na Gavana, ha ha ha😎. ngoja niulize hili, kwako kwaniniimani yenu inaruhusu na kuhalalisha kumwendea kinyume na maumbile mwanamke? unadhani sayansi ya kidaktari inasemaje kwa minajili ya afya ya mwanamke na kwanini mnahalalisha ukoboaji. hili si unajua tena limeshushwa kutoka kwa mola juu??. hamuoni mko more or less the same na hao waliberali. kwani biblia imekataza yote hayo. its obvious
 
 
umeyatoa wapi wewe mambo haya!

 

Imani yangu HAIRUHUSU HATA KIDOGO KUMUINGILIA MWANAMKE KINYUME CHA MAUMBILE!
NA MWENYE KUFANYA HIVYO AMELAANIWA!
sasa nikuulize wewe haya maneno ya kuzua yanasaidia vipi KANISA KUONDOA ULIBERALI??
 
Mi nadhani walishalipua bungeni kwetu kitaambo....rejea hii thread ya zamani

Katika toleo la Mwanzo kabisa la gazeti la Sema Usikike chini ya Mshana liliandika habari kuwa Waziri mkuu wa zamani Tanzania ni Shoga!!!
Katika gazeti la Sema Usikike la tarehe 10/2/2009 kuna habari kwamba Waziri mkuu wazamani amemuweka kimada mbunge moja shoga kutoka magaribi. Kwa waheshimiwa wabunge habari hii siyo ngeni kwao.

Story inasema: Waziri Mkuu wa zamani amuweka kimada shoga
-shoga mwenyewe ni mwanasiasa mwenzake
-atanua naye zaidi anapokuwa mjini Dodoma
Waziri mkuu wa zamani anatuhumiwa kumuweka kimada mwanasiasa mwenzake mwanaume amabye anaaminika kuwa ni shoga na sasa anaelezwa kuwa karibu naye kama nyumba ndogo ya mheshimiwa huyo.Habari za muda mrefu zinaeleza kwamba mapenzi kati ya Waziri Mkuu huyo wa zamani na mwanasiasa huyo shoga si siri tena kwa wengi hali ambayo imeeleza kutishia hata ndoa yake.Imeelezwa kwamba kabla hata ya kuingia siasa mwanasiasa huyo shoga amekuwa na uhusiano wa muda mrefu na waziri mkuu huyo mstaafu tokea akiwa mtumishi wa taasisi moja ya serikali.

thread yenyewe hii hapa kwa ukamili: sema usikike
 
........wala hushangai Mmarekani kugawa silaha kwa wahuni huko !..........una ropoka ujinga tu.

Ujinga ni kutojua mambo mimi naelewa wazi kuwa Hawa wanasaidiwa na wenzao toka mashariki ya kati pale we hujioni kuwa ndo mjinga unaeleza usichokijua marekani are against terrors sasa awape silaha tena. comment ukitumia kichwa si ma*ka ******lio
 
Siwezi chagua chochote hapo vyote vinakinzana na ukristo wa kweli huwa; najiuliza kwanini nyie mnamezeshwa ujinga na huwa munaaamini??!! hamna uwezo wa kufikiri au tatizo nini???!!!!

Eti anakuja shekH anakuambia kwamba ukifa kaburi linajibana, mara nyoka atakutafuna< sijui kukudonoa, sasa kama umekufa baharini nani anakudonoa?? pweza au Nguva na mtoni je MAMBA au na kwanini ukiambiwa kamuue John uende peponi humuulizi anaekuambia kwanini John na si zuhura. kingine mnafuatilia sana Upande wapili kuzidi hata yale mnayokaririshwa madarasa kule ukiw mdogo unamezeshwa ujinga na unauchukua hvyo hvyo poleni sana Mungu mwema, Yesu Kristo awaonyeshe njia ya kweli katika kuepuka yale mauti ya PILI.



 
imani yangu hairuhusu hata kidogo kumuingilia mwanamke kinyume cha maumbile!
Na mwenye kufanya hivyo amelaaniwa!
Sasa nikuulize wewe haya maneno ya kuzua yanasaidia vipi kanisa kuondoa uliberali??
mkuu nashangazwa na kauli yako hapa kwani zenji kule haya mambo yapo wazi. Labda nikuulize swali je unapingana na kitabu ama? Nini maana ya taqiya kuhusianana hili jambo.
 

Mkuu Kahtaan,
Sikulazimish kuamini hiki ninachoamin au kukutoa kutoka ktk iman hyo ulonayo,lakin nimeona nishare kidogo kile ninachoamini mimi.
Baada ya shambulio la westgate,yalizuka majdiliano makali sana kuwa UISLAAM ndo unatekeleza mauaji ya raia wakenya na hata wasio wakenya kwa mashambulio ya kigaid,
Ilisemwa kuwa magaid wote walikuwa ni waislaam na walikuwa wanauliza maswali yakutaka kuengua kat ya waislaam na wasio waislaam.

Mimi kwa kutaka kujifunza zaid na kuogopa kuchangia hizo mada bila kufaham lolote (kwa maana mimi si muislaam,na wala siufaham uislaam kiundan,nina ufaham kupitia maisntream media)

Katika kuchunguza kwangu nilikutana na mafundisho ya masheick waliokuwa wanaunga mkono LIVE ishu za ugaid,na video zao zilizorekodiwa live katika misikiti zipo you tube, mtu kwama sheick Rogo na masheick wengine wa aina hiyo .
Baadae nikaja kutana na masheick wanaopingana na hao, wao wanaona kuwa wale akina rogo wamepotoka ilihali na akna rogo nao wanaona hao wengine wamepotoka

Ndipo nilipokuja gundua kuwa ni ngumu kuueleza uislaam na kuelewa nini mafundisho yake kama wewe si muislaam na haujaamua kujifunza kwa undani ,hivyo hivyo kwa ukristo ,naona vile unavyoongea idea zako za wakristo waliopotoka unataka kuamnsha jamvi kuwa ndvyo ukrsto ulivyo HAPANA si kweli!

Na uksema kuwa huko ulaya ulpoanzia ndo kumeharibika zaid basi ukatumia point hiyo kusema kuwa hayo ndo mafundisho ya ukristo unakosea pia ,ni kama baadhi ya watu wacche wanaosema kuwa Uisalaam ni dini ya kuuana na wanaleta mfano hai nna ambavyo hko uaabuni jamaa wanajtoa muhanga na kuua maelfu ya watu ,sehemu amabyo uisalaam ndo ulianza soo kama tutajaji ukristo kwa kuangalia kle wazungu wanafanya tutasema kwa ukristo ni dini ya ushoga na kama tukujudge uislaam kwa kuangalia kle waarabu na wazomali wanafanya tutasema uislaam ni dini ya kuuana na didn isiyotaka amani.

Ilihali mimi nimeangala sana mafundisho yanayotolewa katika PEACE TV ambayo ni tv ya kiislam na napatikana ktkt ving'amuz mbali mbali hapa bongo ,nimeona kuwa n mafundisho manzur tu, na kuna tofauti kati ya kile nilichokuwa nasikia ju ya uislaam a kile ninachosikia toka kwa sheick Rogo na kle nachosikia toka ktk Peace tv.
 
mkuu nakusifu kwa uchambuzi wako yakinifu, lakini sijakuelewa pale unapoisifia peace tv, wakati mimi mwenyewe nimefunga dstv(premium) na ninaisikiliza sana tu, ikiwemo ile ya eternal word television network (ewtn).

peace tv ime-buniwa ku-brainwash watu, but the actual faith is what you've heard in syria, lebanon, egypt.afghanistan,somalia, sudan, alqaeda, uamsho, ashshababu, boko haram, and so forth.
Walioamini uislamu wanatamani kuua wakristo tena kuliko ile wakristo wenyewe wanavyotamani kuendelea kuwa wakristo. Peace tv is nothing but a ''trap'' to the world.
IKIWA WEWE NI MKRISTO WA KWELI, SEMA KWELI NAYO ITAKUWEKA HURU, HUJAAMBIWA HUSEME UONGO(MDOGO AMA MKUBWA). FAHAMU USIAPE. USEMAPO ZAIDI YA ILE KWELI UJUE, HAYO YATOKA KWA YULE MWOVU.
 
Imani yangu HAIRUHUSU HATA KIDOGO KUMUINGILIA MWANAMKE KINYUME CHA MAUMBILE!
NA MWENYE KUFANYA HIVYO AMELAANIWA!
sasa nikuulize wewe haya maneno ya kuzua yanasaidia vipi KANISA KUONDOA ULIBERALI??
MKUU USILAANI PEKE YAKO TUPE MSTARI WA KUTHIBITISHA usemalo,
IKIWEMO NINI Mmaana ya neno suna?.
ili tujue ukweli ni upi>
 
MKUU USILAANI PEKE YAKO TUPE MSTARI WA KUTHIBITISHA usemalo,
IKIWEMO NINI Mmaana ya neno suna?.
ili tujue ukweli ni upi>

Sasa naona kijana unaanza kupoteza wakati wangu ,
unataka mimi nianze kujaribu kumuelekeza mtu ambae hana idea yyt kuhusu uislamu!?

Tatizo lenu nyie WAGALATIA mnataka kuutukana uislamu bila ya kuusoma hata kidogo!
Mimi kabla sijaanza mdahalo wa aina yyt kuhusu Ukristo! nimesoma biblia miaka mitano!! Tena shule ya kanisa iitwayo 'st annes church of England, in oldswan Liverpool! !

Sasa wakati woote naongea na wewe nikidhani you know even basic about Islam!

BUT YOU DONT KNOW NOTHING! !

SASA KAMA HUJUI HATA MAANA YA SUNNAH!

NINI NTAKUELEZA WEWE UELEWE KUHUSU HII DINI YA OVER 2 BILLION PEOPLE! ?

Na wewe nakushauri kakojoe ulale! manake utaniumiza kichwa for no reasons! !

My time is worth more than bla..bla..bla!

Have a nice day galatia!
 
 
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…