Jeshi la wokovu!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Chemistry lilikuwa somo moja la ajabu sana...[emoji23]

Unaingia exam room unakutana na Q1 ambalo hujawai lisikia tangu form one..

Unaenda Q2...unakuta linasema explain your answer in Q1 above...unaishiwa nguvu unasonga Q3....kumbe inasema discuss your answer in Q2...unamwangalia jirani yako pembeni unaona hamwezi discuss nao coz index number yao ni mbaya afadhali yako [emoji15]

[emoji15] ... Unaenda Q4 wanauliza two types of bonds na wewe unajua eurobond na james bond pekee...unauma kalamu✍�...

Kidogo unasikia mnoko mmoja anomba extra paper wakati wewe unajiuliza ni kurogwa ama nini..kabla huyo hajaketi mwingine anasimama na kusema Q7 lina shida na ni hilo pekee uli culculate ukapata 0.076524.

Unaamua kulalia meza na unaota kuna uncle wako yuko jeshini atakufanyia mpango uingie jeshi baada ya shule[emoji42][emoji42]..

Unaamka ghafla unapokumbuka uncle wako ni wa Jeshi la wokovu.
 
Mkuu nulikuwa nimefura hasira za magufuli kuongelea habari za sukari kwenye utoaji kamisheni ila nimesoma hili bamdiko lako da! Kwa kweli ungekuwa karibu balimi ingekuhusu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya nionekane chizi nacheka peke yangu
 
I already said Chemestry paper 2, unless u don't know what I am talking abt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…