Jeshi la Zimamoto latoa tahadhari ya uwepo wa majanga, Wakazi wa mabondeni watakiwa kuwa makini

Jeshi la Zimamoto latoa tahadhari ya uwepo wa majanga, Wakazi wa mabondeni watakiwa kuwa makini

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku likiwataka wananchi kuwa makini katika kipindi hicho pamoja na kuviasa vyombo vya usafiri kutopita katika maeneo yanayopita maji kwa kasi.

Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Dodoma na Msemaji wa Jeshi hilo,Naibu Kamishna wa Zimamoto na Uokoaji,Puyo Nzalayaimisi huku akiwaasa wakazi wa mabondeni kuwa makini katika kipindi hicho.
 
Hawa DRC huwa hawaendagi si Jeshi la Uokoaji na Zimamoto au mimi nimeelewa vubaya?
 
Hawa DRC huwa hawaendagi si Jeshi la Uokoaji na Zimamoto au mimi nimeelewa vubaya?
Mkuu; Umeelewa vibaya i.e. Tofauti na kinachozungumziwa hapa. Ukileta mambo ya DRC kwenye uzi huu utakuwa hujamtendea haki mtoa mada.
 
Back
Top Bottom