Jeshi la Zimamoto na Uokoaji latoa majina 250 ya waliochaguliwa kwenda mafunzoni

jibwa

Senior Member
Joined
Sep 2, 2015
Posts
119
Reaction score
57
Zimamoto wametoa majina ya waliochaguliwa kwenda mafunzoni 250 kama ulifanya interview pita kwenye vituo vyao uangalie jina lako.
 
Mbona hao waliochaguliwa ni wachache sana,ama wote hao 250 watawapanga katika miji mitatu kama Dar,Dodoma,na Arusha ama Mwanza......ama bajeti ya kuwalipa wengi haitoshi
 
Mbona hao ni wengi mkuu, serekali haiwezi kuajiri watu wote mkuu
 
Mbona hao waliochaguliwa ni wachache sana,ama wote hao 250 watawapanga katika miji mitatu kama Dar,Dodoma,na Arusha ama Mwanza......ama bajeti ya kuwalipa wengi haitoshi
Ndio waliowahitaji hao.
 
Back
Top Bottom