Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kila nikitembelea jengo la NSSF Ilala hukuta kamba zimefungwa kwenye ngazi ili zisitumike hivyo kulazimisha zitumike lifti tu!
Kitendo hiki ni cha kuhatarisha usalama wa watumiaji wa jengo hilo la NSSF na pia kuonesha uzembe wa kikosi cha ukaguzi cha jeshi la zimamoto na uokoaji, msisubiri maafa yatokee ili muunde tume ya uchunguzi.