Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Jeshi la Zimbabwe latia fora baada ya kuamua kushiriki International army games huko Urusi inayohusisha nchi 30 duniani.
Katika mashindano hayo, kikosi bora cha tanks cha Zimbabwe kimeshindwa kulenga shabaha iliyowekwa, mbali ya kuchukua muda mwingi karibu mara mbili ya muda uliotumiwa na timu iliyokuwa ikishindana nazo, ambazo ni Iran, South Ossetia na Mali.
BTW, bora zao wao wameshiriki michezo hiyo ya kijeshi ya kimataifa, wametambua udhaifu wao na wamejifunza mengi tu...watafanyia kazi.
www.newzimbabwe.com

Zimbabwe in embarrassing outing at Russia’s army games; team failing to hit targets, getting lost, taking too long to finish tasks - NewZimbabwe.com
ZIMBABWE'S military competency has been brought under the spotlight in Russia, where it is competing against 30 other countries at this year’s edition of the International Army Games.