Jeshi letu lina ndege za kivita zisizo na Rubani?

Jeshi letu lina ndege za kivita zisizo na Rubani?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Swali chokonozi na fikirishi toka kwa Mjanja M1 kwenda kwa wajuzi wa mambo nchini.

Jeshi letu lina Ndege za kivita zisizotumia Rubani?

Kwa anaejua tunaomba miongozo tafadhali....
 
Labda mikataba feki isiyokuwa na uthibitisho
 
Ziko tatu tulizopata kwa msaada wa watu wa Marekani ila mbili zinahitaji marekebisho
 
Vitu hivyo vimetapakaa kila mahali, hawakosi kuwa nazo.

Hizo hata vijana wetu wa tabata wanaweza kuziunda wakielekezwa mara moja tu.

Hazina ajabu yoyote.
 
Kuwepo si shida.. shida ni ya aina gani.. ina specs zipi..?

Maybe fanya comparison ya hizo Ndege Nyuki ambazo zinatumika kwa sasa (Latest) na ambazo tunazo au uwezo wa kuzinunua tunao?

Technically kununua hizo ndege si ghali kama ndege vita zingine kama f-35 etc.
 
Swali chokonozi na fikirishi toka kwa Mjanja M1 kwenda kwa wajuzi wa mambo nchini.

Jeshi letu lina Ndege za kivita zisizotumia Rubani?

Kwa anaejua tunaomba miongozo tafadhali....
Wwatanunua za maonyesho ya December 9
 
mkuu una A yakudanganya...
Sidanganyi mkuu enzi ya jk tulipata misaada mingi mno ya vifaa vya kisasa kutoka US na China pia UN walitupa kama Moja ya makubaliano kupeleka convoy Lebanon ,Sudan na Kongo
Hapa kwa Magu ndio jeshi halikupata sana vifaa we unafikiri zile km 100 pale ngerengere zimejengwa kwa ajili ya ndege za kawaida brother tuko next level hapa EA hakuna wa kucheza na sisi kirahisi
 
Vitu hivyo vimetapakaa kila mahali, hawakosi kuwa nazo.

Hizo hata vijana wetu wa tabata wanaweza kuziunda wakielekezwa mara moja tu.

Hazina ajabu yoyote.
Bibie kuwa serious kidogo basi
 
Swali chokonozi na fikirishi toka kwa Mjanja M1 kwenda kwa wajuzi wa mambo nchini.

Jeshi letu lina Ndege za kivita zisizotumia Rubani?

Kwa anaejua tunaomba miongozo tafadhali....
Unamaanisha nini maana hata drones hizi zilizojaa bongo ni ndege zisizo na rubani na zinaweza kutumika kama silaha vitani.
 
Back
Top Bottom