snow snow Senior Member Joined Sep 12, 2014 Posts 118 Reaction score 88 Jan 15, 2021 #1 Jeshi limezunguka na kuingia kwenye nyumba ya Bobi wine na kumuweka chini ya ulinzi, Bobi amelalamika uchaguzi ulikuwa na ubadhilifu na amejitangaza kama raisi wa nchi hiyo na kwamba ameshinda kwa asilimia 65 kwa 28 .nini maoni yako?
Jeshi limezunguka na kuingia kwenye nyumba ya Bobi wine na kumuweka chini ya ulinzi, Bobi amelalamika uchaguzi ulikuwa na ubadhilifu na amejitangaza kama raisi wa nchi hiyo na kwamba ameshinda kwa asilimia 65 kwa 28 .nini maoni yako?
MPOKEA KODI Senior Member Joined Apr 1, 2020 Posts 197 Reaction score 140 Jan 15, 2021 #2 This is Africa
moyafricatz JF-Expert Member Joined Nov 27, 2015 Posts 2,904 Reaction score 4,902 Jan 17, 2021 #3 Pigaaaaaa huyooo