MR.KUMEKUCHA
Senior Member
- Aug 30, 2012
- 146
- 19
Katiba mpya itaje tpdf kama jeshi pekee tanzania.polisi iwe idara ili wasijione kama jeshi na kusumbua wananchi na jukumu lao ni kutoa huduma kwa wananchi na si vinginevyo.kama polisi ni jeshi "tpdf" n nn?