Jeshi namba 6 kwa ubora duniani likaiokoe Congo DRC.

Jeshi namba 6 kwa ubora duniani likaiokoe Congo DRC.

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Sasa yatosha, majirani zetu wanateseka sana.

Ni wakati sasa jeshi letu pendwa (JWTZ) kwenda kufanya operation nyakua nyakua kutokomeza waasi wote na kuiacha DRC salama.

Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa msemaji wa JWTZ, jeshi letu ni namba 6 kwa ubora Dunani. Sasa haliwezi shindwa kazi ndogo kama hii.
 
Hilo jeshi la kwenda congo lina zana za kisasa kuweza kuwatia adabu wahuni hao wanaoleta vurugu huko congo? Zinatakiwa zana za kisasa kama za israel
 
Back
Top Bottom