Jeshi zima LA clouds TV na alikiba wakijaribu kumzima CEO wa wasafi TV (Diamond platnumz)

Kwa hiyo ili wampandishe CEO ilibidi wasimpokee Alik? Ni msanii pekee aliyepokelewa?? Wafanye biashara na yeyote akipeleka wimbo utatangazwa.
 
Fikra za kimaskini hizi
wachunguze vyema mkuu"" wengi hawana life skills"" wanyoa viduku"" wapenda ngono..misifa"" madereva wa boda + ...so wasikupasue kichwa ..wako empty set""
 
mahaba Niue niteke teze kama nyanya "" hahaa
MKIMALIZA KIBA DAY NA KIJIWE CHENU CHA UNAFKI MTUSTUE TUENDELEE NA KWANGWARU ZETU.

msalimie nandy ,aslay ,stamina.MMEWATUMIA KAMA NDOM SA HIVI MMEPARAMIA MWINGINE.
Mwisho ni kwamba kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.G9T
 
hahahaaa inachoumerrrrrr kama pasi
 
RUGE HII WCB IMEJENGWA HASWAA NA KIJANA MWENYE UCHU AKILI NA UPAMBANAJI HASWAA KUTOKA KITAAA

THIS TIME UMEKUTANA NA JIWE HASWAAÀ

UTAMBEBA NANDY
ASLAY
DIMPOZ
KIBA
SHOZA
Kusanya na wengine.HAMTOWEZAAAA
Broo waweke na wasanii wengine tena
 
Alikiba anafanya biashara anatangaza brand zake mofaya na alikiba wasabi tv si ipo bas nanyie pigeni nyimbo zenu tuuu
 
Aslay na Nandi wako mikoani wanapiga show we sema wamechuja wakati kila siku wanaingiza 4 million ruge ndo anaefaidi izo pesa business as usual
 
halafu we team Kiba kila upuuzi unautetea japo unajua ukweli ulivyo! hlf badilisha aina yako ya uandishi humu...hizo nukuu zako zisizokuwa na mpangilio zinatuboa kama interview za huyo King wako.
 
halafu we team Kiba kila upuuzi unautetea japo unajua ukweli ulivyo! hlf badilisha aina yako ya uandishi humu...hizo nukuu zako zisizokuwa na mpangilio zinatuboa kama interview za huyo King wako.
hahaa "" wewe " kweli Tomaso "" yaani bando langu"" halafu wanipangia" namna ya uandishi"" ambao napaswa kuwa nao""? katiba ya JF inapingana ""na uandishi " wangu " au ni upopoma wako " tu "" ndio umekutuma " uje kuni attack""? hebu nenda kapige mswaki kwanza "" ndio uje kunikosoa.."" maana umeshaanza kulinukisha jukwaa uvundo"""
 
Ukitaka kuishi bila stress we fatilia mziki mzuri achana na team
 
Clouds ni habari nyingine kabisa,achana na hao jamaa,nyie tulieni na hicho ki tv chenu cha nchi 14
 
Sisi tunakunywa mofaya nyie mezeni hizo karanga 6 mkafie mbali
 
Wasafi TV ni ya kusaga na diamond anamiliki only 15% sasa clouds wataanzaje kushindana na biashara yao wenyewe? hizo ni mbinu tu za biashara
 
Aslay na Nandi wako mikoani wanapiga show we sema wamechuja wakati kila siku wanaingiza 4 million ruge ndo anaefaidi izo pesa business as usual
Ukisoma andiko lifikirie mara 2 ndo ujibu,hapo niliposema mfano Aslay maana yake kuwika kwa Aslay ndo kumewafanya wamgande,na wapo waliowika wakaishiwa hawawagandi tena hakuna asiyejua kwamba mpaka sasa Aslay bado moto.
 
Wanapoteza muda kumbeba alikiba,alishakufaga kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…