Jestina George kadundwa mbaya Na Meckisha!

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Jamani habari zilizotumwa hivi punde
Jestina George kadundwa mbaya na Meckisha
Kwa tuhuma za kuwa record kina Kajala
na kina meckysha wakimsengengenya..Wema..
Kwa mwendo huu si balaa
 
Meckisha ndo nani?

Mwenye picha aweke tuweze kumpatia grade.
 
Weka picha za hao watu!
 
Hizi team zinakoelekea watakuja uana kisa ushabiki usio leta maendeleo zaidi ya kugombea mabwana na upuuzi
 
kashachelewa wenzie hadi tumesahau
na mpigwaji nundu zishaanza kupungua

Hahahaaa...tushampa huduma ya kwanza, tumekanda na kumchua kwa siki na juisi ya ndimu tumemnywesha...
Saa hizi kalala, huyu anataka tuamshia mgonjwa tuu....
 
Kuwaharibu kwa tindikali ndio nzuri
 
Hizi team zinakoelekea watakuja uana kisa ushabiki usio leta maendeleo zaidi ya kugombea mabwana na upuuzi

Rip 2pac n' BIG,shit is real i know you love him,
He ain't got "Ready to Die", "Life After Death",
give to 'em!
 
Rip 2pac n' BIG,shit is real i know you love him,
He ain't got "Ready to Die", "Life After Death",
give to 'em!

Me.and 2pac were soldiers of the same struggle.
Got ur self a gun. Otherwise
Hate me now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…