mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Labda adakeMechi ya Coastal Union katoka bench katoa assist, leo katoa assist unataka afanyeje?
Picha kwa tusiomfahamuNimemfuatilia kwa umakini mkubwa winga huyu wa kikongo kwa msimu huu mpaka sasa, na baada ya kumtazama katika mechi ya Leo dhidi ya mtibwa ni wazi jesus moloko hana kitu kingine anachoweza kutoa kama msaada kwa timu yetu, ni winga wa kizamani mwenye uwezo mdogo wa kufanya maamuzi, na hata anapotakiwa kuisukuma timu mbele anashindwa, kwa kifupi muda wake ndani ya Yanga sc umefikia tamati na nitashangaa sana ikiwa mbabaishaji huyu ataendelea kuwa miongoni mwa wachezaji wetu baada ya DIRISHA hili dogo la usajili
Hakuna kocha wa Kisasa atampa nafasi Moloko.Nimemfuatilia kwa umakini mkubwa winga huyu wa kikongo kwa msimu huu mpaka sasa, na baada ya kumtazama katika mechi ya Leo dhidi ya mtibwa ni wazi jesus moloko hana kitu kingine anachoweza kutoa kama msaada kwa timu yetu, ni winga wa kizamani mwenye uwezo mdogo wa kufanya maamuzi, na hata anapotakiwa kuisukuma timu mbele anashindwa, kwa kifupi muda wake ndani ya Yanga sc umefikia tamati na nitashangaa sana ikiwa mbabaishaji huyu ataendelea kuwa miongoni mwa wachezaji wetu baada ya DIRISHA hili dogo la usajili
Na huo ndio ukweli, ni winga wa kizamani mno. Pale Azam hakuna winga anayeweza kuwekwa benchi na Moloko.Hakuna kocha wa Kisasa atampa nafasi Moloko.
Wataje hao mawinga na takwimu zaoKwanza kwa uchezaji wa moloko kuna wachezaji kibao wa kibongo wenye uwezo kama wake au zaid, moloko winga wa kawaida sana
Benchika pale umbumbumbuni anaweza kumpa nafasi, na huenda umbumbumbuni wanampigia hesabu...Hakuna kocha wa Kisasa atampa nafasi Moloko.
Usiangalie takwimu angalia uhalisia mzee ukisema takwimu basi Giroud ni bora kuliko Zidane na Henry kwa pale Ufaransa manaa ana takwimu nzuri za magoli kuliko haoWataje hao mawinga na takwimu zao
Okay achana na takwimu taja hao mawingaUsiangalie takwimu angalia uhalisia mzee ukisema takwimu basi Giroud ni bora kuliko Zidane na Henry kwa pale Ufaransa manaa ana takwimu nzuri za magoli kuliko hao
Ayoub lyanga wa Azam , Farid Mussa , iddi nado nk..Okay achana na takwimu taja hao mawinga
Huyu Lyanga ni mtu, basi tu.Ayoub lyanga wa Azam , Farid Mussa , iddi nado nk..
[emoji16][emoji16]Benchika pale umbumbumbuni anaweza kumpa nafasi, na huenda umbumbumbuni wanampigia hesabu...
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app