JeUkimfumania mkeo akila tunda na ndugu yako utafanyaje?

JeUkimfumania mkeo akila tunda na ndugu yako utafanyaje?

Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2007
Posts
3,518
Reaction score
1,089
Wana JF leo majira ya saa tano jamaa kamfumania mkewe akila tunda na mdogo wake,jamaa kaamua kuhama na kuwaachia kila kitu waendelee,imekaaje hii wadau?
 
iko pouwa sana:ballchain::behindsofa::car:
 
NAMI WOTE NAWALA TIGO... then Ntawaachie kila kituu..
jamaa Kacheza kama pele... Lkn mimi wote nawakata vichwa.
 
Nimeipenda hiyo kafanya uamuzi wa busara sana.
 
Back
Top Bottom