Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,089 Jan 8, 2011 #1 Wana JF leo majira ya saa tano jamaa kamfumania mkewe akila tunda na mdogo wake,jamaa kaamua kuhama na kuwaachia kila kitu waendelee,imekaaje hii wadau?
Wana JF leo majira ya saa tano jamaa kamfumania mkewe akila tunda na mdogo wake,jamaa kaamua kuhama na kuwaachia kila kitu waendelee,imekaaje hii wadau?
papag JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,156 Reaction score 1,667 Jan 8, 2011 #2 iko pouwa sana:ballchain::behindsofa::car:
M Mike 1234 JF-Expert Member Joined Feb 23, 2009 Posts 1,633 Reaction score 155 Jan 8, 2011 #3 si ndo kampenda zaidi, unawaachia
rancosys Member Joined Jan 14, 2010 Posts 51 Reaction score 3 Jan 8, 2011 #4 NAMI WOTE NAWALA TIGO... then Ntawaachie kila kituu.. jamaa Kacheza kama pele... Lkn mimi wote nawakata vichwa.
NAMI WOTE NAWALA TIGO... then Ntawaachie kila kituu.. jamaa Kacheza kama pele... Lkn mimi wote nawakata vichwa.
tama JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 602 Reaction score 71 Jan 8, 2011 #5 Nimeipenda hiyo kafanya uamuzi wa busara sana.