GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Rais Mstaafu Kikwete
2. Makamu wa Rais Dk. Mipango
3. Waziri wa Fedha Dk. Nchemba
4. Waziri Mavunde
5. Waziri Kikwete
6. Msemaji wa Serikali Msigwa
7. Mkuu wa Mkoa DSM DC Chalamila
Laiti hawa Wachache niliowataja hapa (pamoja na wengine ndani ya Chama CCM) wasingekuwa wanaonyesha wazi wazi Mapenzi yao kwa Yanga SC huku hata wakati mwingine wakitumia Madaraka yao kufanya Influence katika TFF na Ligi Kuu ya NBC (hasa Kimaamuzi) ili tu Kuiumiza na Kuikomoa Simba SC wala kile kilichotokea jana usiku Uwanja wa Mkapa kwa msafara wa Mabasi ya Simba SC kuzuiliwa kuingia Uwanjani kufanya Mazoezi kisingetokea.
GENTAMYCINE kama kawaida yangu MUONA MBALI nilishaanzisha Nyuzi nyingi sana hapa JamiiForums ya Kulisemea hili na hata Kulikemea ila kama ilivyo Jadi nikawa Napuuzwa na hata Kudhihakiwa na Watu ambao hawajui kinachoendelea na hatimaye Jana / Leo kimetokea.
Yanga SC itaachaje kuwa na Kiburi na Jeuri wakati wapo hata Viongozi Waandamizi (waliopo na waliostaafu) ambao wanatumia Fedha za Serikali kuinufaisha Yanga SC huku hata Wastaafu wengine wakizitumia Kampuni zao za Siri ambazo hazitozwi Kodi na ni za Kitapeli (walizozianzisha wakiwa Madarakani) kuweza Kuisaidia (Kuidhamini) Yanga SC kwa kila namna?
Hakuna asiyejua kuwa Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji kapitia misukosuko mingi ya Kibiashara nchini Tanzania kwa Uyanga wa Viongozi katika Wizara zenye Ushawishi Kifedha (Kodi) na Biashara nchini kwa Maelekezo ya Mstaafu ambaye ana Chuki kubwa na Simba SC na pia ana Ushawishi mkubwa katika Serikali ya sasa ya Rais Samia na ana 85% ya Hisa katika Kampuni inayoogopwa na Serikali na isiyotoa Kodi na ina Hela za kufanya kila Kufuru ndani ya Taifa hili.
Wadau wa Mpira tulionya sana hapa JamiiForums juu Ligi Kuu yetu ya NBC kuharibiwa na Watu fulani na Kampuni fulani kwa Kumwagwa hovyo Fedha kudhamini Vilabu ambavyo vinashiriki nae pamoja katika Ligi hiyo hiyo huku pia ikifanya hata Udhamini wake katika baadhi ya Vitengo vya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lakini si tu hatukusikilizwa bali tulipuuzwa pia.
Huu ukweli wa wazi ambao kwa Masikitiko makubwa GENTAMYCINE nausema leo kamwe hutoweza kuupata au hata kuusikia kutoka kwa Media zetu zilizojaa Wapumbavu na Wanafiki watupu kwani hata wao (Media) wapo katika Payrolls za Wahusika niliowataja katika Utangulizi wangu pamoja na Kampuni iliyodhamiria kuja kuharibu Soka la Tanzania.
Imefika hatua sasa Media ya Tanzania (hasa kwa Michezo) zinaogopa kusema ukweli kwa Kuogopa kutopata Udhamini, kupewa Fedha na hata baadhi yao kutopendekezwa kupewa Vyeo sehemu mbalimbali na Rais Samia kwa Ushawishi wa Mstaafu mmoja na Matajiri wa Kampuni husika ambao wameshamuweka Mama Kiganjani kwao kwakuwa Wasaidizi wake Serikalini, aliyekuwa Boss wake na hata baadhi ya Wanafamilia wake nao pia wana Nguvu ndani ya hiyo Kampuni yenye Sifa Kuu mbili ya Kukwepa Kodi na kubadilisha Jina kila baada ya muda fulani.
Naunga mkono kwa 100% maamuzi magumu na ya Kiume kweli yaliyofikiwa Usiku wa kuamkia leo na Klabu ya Simba.
Nimemaliza.