Jeuri ya Pesa: Bondia Floyd MayWeather achoma dola hadharani

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,880


Bondia mwenye jeuri ya pesa Mayweather amechoma pesa hadharani $100 kwa kiberiti,mbele ya wapqmbe wake huku akishangiliwa na wapambe

Pembeni akiwa amezungukwa na warembo waki-massage massage mwili wake...Jamaa ana kufuru sana ya pesa
 
Federal reserves must take actions on that shits!



****
sisi bara Arab na pesa mingi sana lakini hapana choma pesa moto.
 
inaonekana mangumi yameanza kumpunguza akili
 
Kina Bill Gate bado wanazisaka yeye anachoma, mweusi ni mweusi tu! Utajiri wake una thamani gani??

Yaani ni ajabu mkuu, huyo Mayweather hana hata Mfuko wa Hisani kama alivyo Bil Gate na wenzake. Yaani pamoja na kudaiwa kuwa ni tajiri bado Mayweather ni fukara tu na bongolala.

Hausgangazi Biblia inasema, Kutajirika kwa mpumbavu, kutamwangamiza.!

Vv
 
Linatembea na cash money kama chizi vile.
 
Mi nimeshangaa tu yeye kubeba dollar Milioni moja mkononi
 
Haya mambo mbona hatuoni mzungu akiyafanya? ...Kale kautafiti ka Dr Watson kumbe ni sahihi kabisa...Alifanya uchunguzi kwa mambo kama haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…