Siku zote bei hupangwa kufocus faida.Umeshapigia hesabu ya utengenezaji, designs, printings etc?
umeshapiga hesabu ya mauzo ya msimu mzima,plus ukinga wa Fred Vunjabei?Umeshapigia hesabu ya utengenezaji, designs, printings etc?
Mnajitekenya na kucheka wenyewe kama mliyajua hayo kwa nini mlimpa dili Vunjabei? Kinachowatesa Nyama pori ni kutaka kujilinganisha na kujifananisha na Yanga kwa kila kitu.Yani Yanga akifanya hivi au akisema hivi basi na nyie mseme hivyo hivyo.Kumbukeni msemo ukiiga kunya kwa Tembo utapasuka Msamba,Muda unakuja Simba mtapasuka Msamba na hautashoneka na ndiyo utakuwa mwisho wa habari yenu.Yanga atalibeba kombe Back 2 Back msimu kwa msimu kuanzia msimu wa mwaka huu,kwa kila kombe atakaloshiriki hapa Tanzania anabeba ,Naomba mashabiki wa Simba mjiandae kisaikolojia kwa hilo.Mtakufa kwa mawazo na Presha.Huku Bin Kleb,Seif magari kule Davis Mosha na wengineo hao ni mabingwa wa fitina zote za gizani na za mwangani.Kazi ipooTakribani jezi elfu arobaini na mbili za mabingwa wa Tanzania Simba sports club zimepigwa bei kwa siku moja.
Hii ina maana kwamba ikiwa kila jezi imeuzwa kwa 30,000 basi almost 1.26Billions zimeingia kutokana na jezi.
Naona kabisa vunjabei amepiga mshindo mkubwa kwenye hili dili na anatamani angesaini kwa miaka kumi.
Babra unashida wewe,wenzio wamepumzika wewe unadanga mitandaoni mwanzo mwishoumeshapiga hesabu ya mauzo ya msimu mzima,plus ukinga wa Fred Vunjabei?
Walifanya fitna wakati Simba ikiwa dhohfu ilhali kiuchumi.! Wafanye sasa tuone huo umafia wao.Mnajitekenya na kucheka wenyewe kama mliyajua hayo kwa nini mlimpa dili Vunjabei? Kinachowatesa Nyama pori ni kutaka kujilinganisha na kujifananisha na Yanga kwa kila kitu.Yani Yanga akifanya hivi au akisema hivi basi na nyie mseme hivyo hivyo.Kumbukeni msemo ukiiga kunya kwa Tembo utapasuka Msamba,Muda unakuja Simba mtapasuka Msamba na hautashoneka na ndiyo utakuwa mwisho wa habari yenu.Yanga atalibeba kombe Back 2 Back msimu kwa msimu kuanzia msimu wa mwaka huu,kwa kila kombe atakaloshiriki hapa Tanzania anabeba ,Naomba mashabiki wa Simba mjiandae kisaikolojia kwa hilo.Mtakufa kwa mawazo na Presha.Huku Bin Kleb,Seif magari kule Davis Mosha na wengineo hao ni mabingwa wa fitina zote za gizani na za mwangani.Kazi ipoo
Mkuu we shabikia Malindi tu.Babra unashida wewe,wenzio wamepumzika wewe unadanga mitandaoni mwanzo mwisho
We! ebu jaribu kua na aibu yani simba afanye kitu kwa kumuiga yanga ambaye ni failure kwa kila kitu?Mnajitekenya na kucheka wenyewe kama mliyajua hayo kwa nini mlimpa dili Vunjabei? Kinachowatesa Nyama pori ni kutaka kujilinganisha na kujifananisha na Yanga kwa kila kitu.Yani Yanga akifanya hivi au akisema hivi basi na nyie mseme hivyo hivyo.Kumbukeni msemo ukiiga kunya kwa Tembo utapasuka Msamba,Muda unakuja Simba mtapasuka Msamba na hautashoneka na ndiyo utakuwa mwisho wa habari yenu.Yanga atalibeba kombe Back 2 Back msimu kwa msimu kuanzia msimu wa mwaka huu,kwa kila kombe atakaloshiriki hapa Tanzania anabeba ,Naomba mashabiki wa Simba mjiandae kisaikolojia kwa hilo.Mtakufa kwa mawazo na Presha.Huku Bin Kleb,Seif magari kule Davis Mosha na wengineo hao ni mabingwa wa fitina zote za gizani na za mwangani.Kazi ipoo
Simba haiwezi kujifananisha na timu ambayo historia yake inaishia kariakoo na guest bubu za buguruni.Mnajitekenya na kucheka wenyewe kama mliyajua hayo kwa nini mlimpa dili Vunjabei? Kinachowatesa Nyama pori ni kutaka kujilinganisha na kujifananisha na Yanga kwa kila kitu.Yani Yanga akifanya hivi au akisema hivi basi na nyie mseme hivyo hivyo.Kumbukeni msemo ukiiga kunya kwa Tembo utapasuka Msamba,Muda unakuja Simba mtapasuka Msamba na hautashoneka na ndiyo utakuwa mwisho wa habari yenu.Yanga atalibeba kombe Back 2 Back msimu kwa msimu kuanzia msimu wa mwaka huu,kwa kila kombe atakaloshiriki hapa Tanzania anabeba ,Naomba mashabiki wa Simba mjiandae kisaikolojia kwa hilo.Mtakufa kwa mawazo na Presha.Huku Bin Kleb,Seif magari kule Davis Mosha na wengineo hao ni mabingwa wa fitina zote za gizani na za mwangani.Kazi ipoo