Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Habari za mida hii?
Mimi sio mshabiki wa timu yoyote na wala sijui kuhusu maswala ya soka.Nimewahi kuwa na rafiki wa ki Portugal. Aliniambia nimtajie wachezaji soka 5 wa nchi yake na kila nikitaja mmoja ni 20$.Sad sikupatia hata mmoja....niende kwenye mada..
Mi natamani kununua jezi ya kuvaa nikiwa home au mishe za mitaani bila kujali ushabiki. Jezi ya timu gani ni nzuri.Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
NB:kama ukiniwekea ukaniwekea na picha ya jezi nitashukuru sana