Mimi sio mshabiki wa timu yoyote na wala sijui kuhusu maswala ya soka.Nimewahi kuwa na rafiki wa ki Portugal. Aliniambia nimtajie wachezaji soka 5 wa nchi yake na kila nikitaja mmoja ni 20$.Sad sikupatia hata mmoja....niende kwenye mada..
Mi natamani kununua jezi ya kuvaa nikiwa home au mishe za mitaani bila kujali ushabiki. Jezi ya timu gani ni nzuri.Asante
ngoja nikutajie jezi tamu haswa zenye rangi 2..... Kuna Juventus white and black, kuna Watford yellow and black, kuna Newcastle white and black kama pundamilia...kuna Galatasaray na fayernood tamu Sana.... Pia jezi tamu zingine kuna Ajax away na home