Jezi mpya kwa msimu wa 2023/24 zimeanza kutoka.

bakundande jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2021
Posts
507
Reaction score
672
Habari za mda tena wadau na wapenzi wa kandanda humu jukwaani.
Ikiwa tunaelekea mwisho wa msimu wa kimashindano 2022/23 barani ulayq na kwingineko duniani. Timu mbalimbaili zimeanza maandalizi ya msimu ujao kwa kutangaza ratiba zao za pre_season zikiwa na malengo ya kuimarisha vikosi vyao ndani ya uwanja.
Ila nje ya uwanja katika mtazamo wa kibiashqra timu hizo zimeanza kutoa jezi zitakazotumika msimu ujao.
Usikae mbali na uzi huu kwa updates mbalimbali kuhusu jezi zitakazotumika msimu ujao
 
Juventus tayari wameqchia home kit. Umeionaje kwa upande wako?
 
Nawewe mtoa mada umeingia mkenge wa TWitter?Jezi za Ulaya ngum sana kuvuja hizi ni za watu tu(wa hovyo) wametengeza zitavuja za yanga ila sio puma,adidas,nike e.t.c
 
Huyu jamaa kawaida yake mkitaka kumuacha anakiwasha shida mkimuongezea mkataba
Anajitahidi kuna game ya kwanza alivyotoka injury juve walipigwa 2-0 HT alivyoingia dakika ya 50+ ngoma iliisha 4-2 juve akashinda sema ndoivo team nayo ishajifia pale Jijini Turin
 
Anajitahidi kuna game ya kwanza alivyotoka injury juve walipigwa 2-0 HT alivyoingia dakika ya 50+ ngoma iliisha 4-2 juve akashinda sema ndoivo team nayo ishajifia pale Jijini Turin
Juve wakienda spain watapigwa kama ngoma youseff wa sevilla sio mtu yule[emoji91]
 
Wakuu jezi za mikono mirefu zinapatikana siku hizi?
 
Arsenal kama kawaida huwa wanatoa jezi nzuri ndio sehemu pekee yanafanya kazi kwa ufanisi EPL
 
Wababe toka Paris wametoa kitu chao cha nyumbani msimu ujao.
Swali nj je kumtumia messi kutambulisha uzi huu ni ishara ya kuwepo kwa mkataba mpya baina ya messi na psg?View attachment 2641203
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…