Jezi mpya ya Yanga inagombaniwa kama njugu

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Kuna uwezekano mkubwa kwa Jezi mpya za Yanga kuvunja rekodi ya mauzo ya msimu uliopita.

Kupitia vyanzo mbalimbali mikoani inaonyesha kuwa Jezi hizo pamoja na bei yake kuwa juu lakini wateja wamekuwa wakipisha milangoni kununua, kwa mikoani Maduka ya VUNJA BEI yamekuwa chachu kutokana na uwepo wao kwa kila Kanda.
 
Hizi hizi brauzi? Kama ni kweli utopolo kuna tatizo.

Hizo reflector ni kama mainjinia wa sgr,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hizi hizi brauzi? Kama ni kweli utopolo kuna tatizo.

Hizo reflector ni kama mainjinia wa sgr,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2682774
achana simu za afu sabini mzee,kamera zake sio nzuri...jichange walau 280000 nenda chinaplaza utapata samsung s9 used utaenjoy hizi mambo za kamera
 
achana simu za afu sabini mzee,kamera zake sio nzuri...jichange walau 280000 nenda chinaplaza utapata samsung s9 used utaenjoy hizi mambo za kamera
Hata hivyo mie sikupiga picha hilo tambara la utopolo united.

Sawa demu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…