Jezi mpya za kimataifa za Simba zina alama ya goli 5, Yanga mbioni kudai fidia

Mtani wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2023
Posts
953
Reaction score
3,318
Wakuu leo katika kuangalia jezi mpya za Simba walizozindua leo kuna alama ya goli 5 walizofungwa na watani wao Wananchi, kwa taarifa tu ni kuwa goli hizo 5 ni mali ya Yanga na wamepanga kwenda kufungua kesi ya madai kwa nini Simba wajibandike magoli matano kwenye jezi wakati sio mali yao, wao goli lao ni moja tu.

Nimemaliza

 
Hii Mo Foundation ipo?
 
Wanapapaswa waziwazi kwenye Jezi zao πŸ˜†πŸ€ͺ
Ifike mahalawatu wasichukukie kawaida kitu chochote ....wazingatie alama na jumbe zilizopo katika Kila wantumiacho.
#Kataa kupapaswa ewe mwana Simba.
 
Ila huyu jamaa matangazo yake yamezidi aisee.. Mpaka kero. Hivi haoni hata aibu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…