demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Jamani wana michezo, Nakumbuka kulikuwa na mchakato wa ubunifu wa jezi mpya za Taifa Stars, ulioanza November, 2014. Ningependa kujua zoezi hili limeishia wapi hadi sasa January, 2015.
Mimi niko zangu ughaibuni huku. Hata source of information sina, isipokuwa nasikilizaga e_fm online, napo pia hawalizungumzii.
Waambieni wakina Kitenge na Katanga, wakawaulize pale TFF.