Jezi mpya za Taifa Stars

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Jamani wana michezo, Nakumbuka kulikuwa na mchakato wa ubunifu wa jezi mpya za Taifa Stars, ulioanza November, 2014. Ningependa kujua zoezi hili limeishia wapi hadi sasa January, 2015.

Mimi niko zangu ughaibuni huku. Hata source of information sina, isipokuwa nasikilizaga e_fm online, napo pia hawalizungumzii.

Waambieni wakina Kitenge na Katanga, wakawaulize pale TFF.
 
Ulishapiga kura kuchagua Jezi ? Tembelea tovuti ya TFF kuna sample ya jezi nyumbani na Ugenini.
 
Ulishapiga kura kuchagua Jezi?? Tembelea tovuti ya TFF kuna sample ya jezi nyumbani na Ugenini

Nimeziona lakini walisema zoezi la upigaji kura litaisha December, 2014.
Hadi sasa naona kimya tu kimetawala. Hata atujatangaziwa jezi mpya ni zipi...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…