Jezi mpya za timu mbalimbali kwa msimu ujao 2021/2022

Naikumbika hiyo mechi tulikuwa tunaitazama pale maeno ya CDA Uhindini- Dom, mida ya jioni kama saa kumi na moja hivi kwenda kumi na mbili. Hakika siku hazigandi!
 
Inaonekana huko Ulaya mambo yao yapo sirias sana. Yaani kabla ligi hazijaisha lakini tayari mipango ilishafanywa ya ligi ijayo.

Vipi huku kwetu!. TFF waliahirisha mechi ya Simba na Yanga na hawajui itachezwa lini! Majamaa yalihairisha mechi mara mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…