Uzi mzur Ila hao sponsor sasa
Wameuharbu ukivaa unaeeza
Onekana unaendesha Uber[emoji2][emoji2][emoji2]
Samsung karudi kwenye game..Inter Milan home kitView attachment 1789375
Samsung karudi kwenye game..
Juve hajawahi kuniangusha [emoji91][emoji91] View attachment 1789603
Aseno bora umuue akose kila kitu ila sio Jezi...ngoja uione ya home
Juventus nao vipi? Huwa wana jezi kali sana
Kali sana.Juve [emoji91][emoji91]View attachment 1789577
Nmeuona mzee, ngoja nianze kuzunguka kwenye maduka ya vifaa vya michezoMzigo ushatoka ucheki hapo
Nmeuona mzee, ngoja nianze kuzunguka kwenye maduka ya vifaa vya michezo
Nmewafollow hawa jamaa, bado sijaona wakipost jezi za msimu huuWatafute jamaa wa 45mins kule insta huwa wanaleta zenye quality japo najua watakuwa hawajaleta
Nmewafollow hawa jamaa, bado sijaona wakipost jezi za msimu huu