Hii ya Juve iko poa aiseeSo far Adidas wametoa jezi kali kwa Juve baada ya ile ya ugenini ya Arsenal
View attachment 1789584
Ndio mzee, nalifahamu hiloUjue bado hazijafika
Natamani SIMBA waige AC MILAN ,AU FLAMINGOAC Milan hawajawahi kuniangusha, mtaalam wao anatisha mno kwa ubunifu.
Jamaa jezi zao Safi Sana ,nitanunua za flamingoFlamengo away kitView attachment 1784878
Bonge la kit