Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Iko moto, adidas 🔥Mpaka sasa Uzi wa Lyon Away ndo habari ya mjini
Nyingine bado hazijatokaLeteni nyuzi basi
Huu ndo uzi kasoro hio mistari meupe wangetoa tu hyo mistari basiBayern Munich away kitView attachment 1788660
Mkuu, huu Uzi wa Lyon away unapatikana madukani kwa sasa..?Iko moto, adidas 🔥
KweliHuu ndo uzi kasoro hio mistari meupe wangetoa tu hyo mistari basi
Huu ungekua bomba
Bado haupatikani ila kuna jamaa wanauza atleast zina qualityMkuu, huu Uzi wa Lyon away unapatikana madukani kwa sasa..?
Hapa bongo Uzi OG kama hii ya Lyon huwa zinapatikana au ndo kuuziana fake..?
Uzi na nusu aisee
Hamna kitu hapo hata kama wangetoa hiyo mistari...Ni kawaida sana.Huu ndo uzi kasoro hio mistari meupe wangetoa tu hyo mistari basi
Huu ungekua bomba
Hii je?
Hiyo pia ni ya ugenini, kumbuka zipo mbili za ugenini
Barcelona imejifia kabisa...hata kumlipa huyu tu wameshindwa?