johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu alisema yeye ni Yanga Lia Lia lakini kamwe hawezi kuvaa Jezi za Wananchi kwa sababu ya rangi zake
Nadhani Sheria Ngowi amemsikia na kumletea Uzi maalumu wa Black and White
Nimemnunulia Jezi 7 kesho nitaziwasulisha pale HQ Mikocheni 😄
Nadhani Sheria Ngowi amemsikia na kumletea Uzi maalumu wa Black and White
Nimemnunulia Jezi 7 kesho nitaziwasulisha pale HQ Mikocheni 😄