Jezi namba 11 imerudi Msimbazi

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Hatimaye mwenye Jezi yake karudi Msimbazi ni suala la muda tu unaosubiriwa jamaa atangazwe na kukabidhiwa Jezi yake. Swali ni moja tu, alikuwa anahitajika kwa kipindi hiki pale Msimbazi au mashabiki ndiyo chanzo cha ujio wake?
 
Kiufundi ni makosa MAKUBWA MNO kumrudisha Huyo jamaa.

IDADI YA MAWINGA SIMBA ITAKUWA 11.
Kama vile miaka Ile ya akina Dunkan Nyoni.

Mawinga 11.
Simba Ina Mabeki wa kati 3.
Haina kiungo mkabaji.
Haina Golikipa.
 
WACHEZAJI WALIOKUWEPO.
1. Enoc Inonga.
2. Banda.
3. Sackho.
4. Kanute.
5. Saido.
6. Chama.
7. Baleke.
8 .Moses phili.

WACHEZAJI WAPYA
9 Che Malone.
10.. Aubin Kramo.
11. Onana.

WACHEZAJI WALIOONDOKA.
1.Augustine Okra.
2.Mohamed Ottara.
3. Ismail sawadogo.
4. Josh ONYANGO.

TETESI
Fabrice NGOMA.
Luis Miquesson simtaki.
Golikipa Santos.
Golikipa wa Cameroon.
Kiungo mmoja mkabaji.

Wamebakisha mchezaji mmoja wafike 12.
 
Kiufundi ni makosa MAKUBWA MNO kumrudisha Huyo jamaa.

IDADI YA MAWINGA SIMBA ITAKUWA 11.
Kama vile miaka Ile ya akina Dunkan Nyoni.

Mawinga 11.
Simba Ina Mabeki wa kati 3.
Haina kiungo mkabaji.
Haina Golikipa.
Kwanza idadi mpk sasa ikoje ya wachezaji wa kigeni simba
 
Kiufundi ni makosa MAKUBWA MNO kumrudisha Huyo jamaa.

IDADI YA MAWINGA SIMBA ITAKUWA 11.
Kama vile miaka Ile ya akina Dunkan Nyoni.

Mawinga 11.
Simba Ina Mabeki wa kati 3.
Haina kiungo mkabaji.
Haina Golikipa.
Mawinga 11 watoke wapi hapo? Yaan #7 na #11 wapo 11? Hapana aisee, hawafiki hiyo idadi.

Mabeki wa kati wako Che Malone, Kennedy na Inonga. Ina maana mmoja akicheza nne mwengine akacheza tano nje anabaki mmoja tu. Hapo kukiwa na majeruhi, red card au matatizo binafsi ni hatari.

Kiungo mkabaji haina ni kivipi? Si ni Mzamiru na Kanoute. Erasto Nyoni alimudu beki zote mpaka hapa pia lilikua eneo lake. Lakin sasa wanabaki wawil tu.

Na makipa ndio Ally Salum na majeruhi Manula. Ndani ya Uwanja Benno alikua mzuri zaidi kuliko Ally Salum, ila nje ya Uwanja hapo sijui.

Na anakuja Mbrazil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…