Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Timu ya Soka ya Yanga imemtambulisha Skudu saa 6 usiku na huyu ndiye aliyekabidhiwa Jezi namba 6.
Hongera kwao, lakini swali letu ndiye alilengwa kupewa jezi hiyo au baada ya mlengwa kushindikana ndiyo Skudu kakutana nayo njiani?