Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Hersi kawatia dole gongowazi siyo kwa mzaha huuMambo yanayoendelea Uto yanasikitisha sana
Kuchukua ubingwa wa ligi kuu 0,kuchukua ubingwa wa azam confederation nako 0,kucheza final ya shirikisho napo 0 .....kweli hawa ni watu wa 0ALLY KOMWE NAONA ANAZIDI KUUMBUKA
1. skendo ya mobeto. 0.
2. Kumkanda Mnyama 0.
3 UBINGWA WA CAFCC Kupita nao msimbazi na helcopta. 0.
4. Kumshushia matusi mgumda 0
5. KUPROMOTE No 6 akayeyuka 0.
6. KUIGA WIMBO WA MAZEMBE 0
Ally kamwe ni 0.