Jezi Nyekundu zina Gundu kuelekea Robo fainali AFCON

Jezi Nyekundu zina Gundu kuelekea Robo fainali AFCON

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kama wewe ni mfuatiliaji wa Afcon huko misri hautapingana na hili kuanzia mechi za mtoano kuelekea Robo fainali zianze Karibia timu zote zilizovaa jezi Nyekundu hazijafanikiwa kufuzu kuelekea Robo fainali licha ya kucheza mpira mzuri

Mpaka sasa timu zilizovaa jezi za kijani au Njano ndio timu pekee zilizofuzu kuelekea Robo Fainali Afcon

Ukiitazama Benin,South Africa, Senegal, Nigeria na Nk jezi zao ni Rangi tajwa hapo.

Zilizotolewa ukitazama Uganda, Misri na NK. Rangi ya jezi zake ni tajwa hapo juu,


Kuna nini kwenye Rangi ya Njano au Kijani kwa Afcon ya mwaka huu.?



Cc Zero IQ
 
siku zote jezi za njano ni za bahati, angalia brazil, south africa, benin wote jezi za njano, jezi nyekundu ni za mkosi rangi ya shetani
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Eti rangi ya shetani. Siku Brazil anapigwa saba hiyo jezi ya bahati ilikuwa wapi kumsaidia.

Siku Yanga anapigwa 5 walivaa vitenge au! Stars ilipovaa jezi za njano kwenye AFCON ilipata point?
 
Back
Top Bottom