Jezi ya Simba awamu ya pili imetoka

Jezi ya Simba awamu ya pili imetoka

Utaonaje na wewe kipofu? Vinyesi vimewapofua macho
Ukweli lazima usemwe,,

Watafute new designer,,

Vunja bei amefeli pakubwa sn.

Halafu mo dewj ni kampuni au mdhamini?

Sijawahi kuona duniani tajiri wa timu akaandika jina lake kwenye jezi..

Mimi ni shabiki garagara wa Simba.
 
Back
Top Bottom