United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Haters are made or born?Bado ubunifu wa jezi za Simba ni sifuri.
Rangi nzr,
tatizo chini ni fupi na ule mtindo wa mkato wake sio mzr.
bei yake ndio balaa xaxaBado ubunifu wa jezi za Simba ni sifuri.
Rangi nzr,
tatizo chini ni fupi na ule mtindo wa mkato wake sio mzr.
Kwa nani nipe ramani nipo kariakoo apaMbona ni 30k tu
Nenda Sunderland, mie nimechukua Vunjabei Sinza
PwNenda Sunderland, mie nimechukua Vunjabei Sinza
Kula ndimu au limaoBado ubunifu wa jezi za Simba ni sifuri.
Rangi nzr,
tatizo chini ni fupi na ule mtindo wa mkato wake sio mzr.
Ajabu kabisa,
Mkuu Mimi ni lunyasi,lakini ukweli lazima usemwe,Haters are made or born?
Wacha tuendelee kumchekea vunja bei atuvalishe matakataka.Kula ndimu au limao
Vaa kizuri, ubunifu waachie wanamitindoMkuu Mimi ni lunyasi,lakini ukweli lazima usemwe,
Wabunifu wa jezi zetu ni ziro kabisa..
Jezi zina colour nzr tatizo design ya mikato ya chini ni hovyo.Vaa kizuri, ubunifu waachie wanamitindo
Utaonaje na wewe kipofu? Vinyesi vimewapofua machoJezi zina colour nzr tatizo design ya mikato ya chini ni hovyo.
Jezi ni fupi Sana,
Sijawahiona mtu kapendeza na jezi hizi mpya..
Ukweli lazima usemwe,,Utaonaje na wewe kipofu? Vinyesi vimewapofua macho
Kabisa mkuu.Mimi Simba ila Yanga wametuacha mbali kwny design ya jezi