mtungi wa gesi
Member
- Apr 4, 2019
- 31
- 33
Fredy vunja bei huku mikoani jez ya simba imefikia inauzwa elfu sabini. Kama wewe ndie unatengeneza hii ya kutoa mzigo kidogo ili utengeneze mazingira ya jezi kuto patikana ili uuze zaidi wewe sio mwekezaji tunamtaka mashabiki wa simba sio wote watakao weza mudu gharama za jezi kuuzwa kiasi icho matokeo yake wewe shahidi now ukiwa taifa watu wachache sana wana wana mpya.
Wengine wala hawahaiki na jezi mpya. Baada ya mwezi sie watu wa mikoani ndo watu wa kwanza kuletewa jezi feki za simba tena kwa gharama nafuu sana.
Ile nguvu na uwekezaji ulioweka simba itakua ni kazi bure maana wapo wajanja tayari wameisha agiza mzigo mpya wa jezi mpya na wataziuza kwa bei rahisi mipaka inayopitia ni arusha, bukoba na mbeya zikitokea tunduma huku watauza kwa elfu saba.
Hizo zako za elfu sabini utabaki nazo. Na kama kuna mtu kakudanganya kuwa ukifanya ivyo utafanya biashara kakudanganya sana biashara ya jezi haipo ivyo toa mzigo au la na wewe una mtaji mdogo huwezi meet a demand ya watu wanahitaji mzigo.
Ushauri wangu badili mtizamo jezi zilizopo stoo zitoe kaka. Na pia kuna watu wachache tu ndo wanapewa mzigo hawa ukienda madukani kwao hukosi mzigo.
Maduka mengi ya Sinza na kinondoni yana hizi jez na huko jez inauzwa hamsini kuna biashara gani kwao tu mdo wenye mzigo wengine wakose?