Jezi ya simba mtaani sasa elfu sabini?

Usipate tabu mkuu, bei ya jezi ni shilingi 35,000 tu.

Kama unapata ugumu na shida ya kuzipata jezi, unauziwa kwa bei kubwa maradufu, au unataka kupewa utaratibu wa kupata jezi kwa bei ya jumla, tafadhali wasiliana na FRED VUNJABEI mwenyewe kwa namba hii 0714104864.

Pia, unaweza kutembelea moja ya maduka yake yaliyotapakaa nchi nzima au ukatembelea ukurasa wake wa mtandao wa Instagram (jina Vunjabei) kwa taarifa na maelezo mengine.

Ahsante sana, kuwa mzalendo, nunua bidhaa halisi.
 
Iyo ni bei ya reja reja kaka mwenyewe akipigiwa simu hapokei na kuna mda simu yake ipo buzy sana
 
Daah, huu ni utaahira, kwani ukikosa hiyo jezi inakuaje? Hebu tuhangaike na mambo ya kimsingi kwanza...
 
Hizi timu mbili zimeshaona wabongo ni mazuzu bara hao vuniabei angalau ziliuzwa mikoani hao utopolo walijiona wa dar na jezi hazijulikani zinapatikana wapi. Mini nitanunua ya mwaka juzi haibiwi mtu hapa
 
Nilizunguka kariakoo nzima nilizikosa hizi jezi hasa nyeupe na nyekundu,pale sandaland dukani zilikuwepo zile za dark blue mikono mirefu kwangu hazinivutii,nikaenda ktk maduka ya vunja bei mzigo naambiwa umeisha,peembeni ya duka la vunjabei kuna maduka pale ilikuwepo moja nyekundu na moja nyeupe bei wananiambia elfu 50 [emoji38][emoji38]
 
akili kumkichwa.. ukilemaa umeachwa feri.
 
Umenichekesha sana aisee, eti jezi ni jezi,, 😂😂 dah,, ila kweli yani ununue jezi elfu 70 bado timu ipigwe jezi iwe nzito tena kupita nayo mtaani.
Mkuu, kabisa yani unatoa 70 mtu kwa mkapa anapigwa sijui natembeaje mpaka home😀
 
Mlioko mikoani tumeni pesa kwangu niwanunulie huku ili niwatumie kueni ktk mafungu muwe Mia Mia ,rahisi wameshaaza kuwaibia huko
 
You have a point to make. Kuna ukanjanja hapo.
 
MBUMBUMBU LAZIMA WALIWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…